资讯
Katika sekta ya misitu, amesema Finland imekuwa ikiisaidia Tanzania katika utunzaji wa misitu na katika ziara hii, Rais Stubb kesho atazindua mpango unaolenga kuzijengea uwezo taasisi za ...
Baadhi ya wanachama waliokihama NCCR-Mageuzi wamesema walichukua hatua hiyo baada ya kubaini chama chao kilikuwa kinafanya kazi kwa masilahi ya chama kingine kisichotajwa.
Hayo yanakuja ikiwa ni siku mbili zimepita tangu INEC itangaze mgawanyo wa majimbo uliosababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya ...
Maeneo yatakayokumbwa na upepo kwa mujibu wa TMA ni mikoa ya Pwani ikiwamo Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya ...
Mariam, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema ujenzi wa masoko umekuwa na changamoto kubwa kwani mengi yanajengwa maeneo ...
Mshtakiwa amefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo leo Mei 14, 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Rehema Mayagilo.
Dk Nchimbi atakuwa bega kwa bega na mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye naye alipitishwa na mkutano ...
Shinyanga. Wanazidi kukibungua chama, ndiyo unavyoweza kusema baada ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) mkoani Shinyanga akiwemo aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (Bawacha ...
Scolastica ambaye awali hakufahamika, alikutwa amefariki dunia kwenye chumba namba tatu cha gesti hiyo huku akiwa amefungwa kitambaa usoni, chanzo cha mauaji hayo kikitajwa ni imani za kishirikina.
Umoja huo pia unalenga kuhakikisha watoa huduma hao wanakuwa miongoni mwa wanufaika katika Sh3.1 trilioni zinazotumika kila ...
Hii ina maana kwamba asilimia 64.7 ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, na asilimia 94.2 ya watumiaji wa mtandao wanatumia angalau jukwaa moja la kijamii kila mwezi.
Shauri lilipoitwa, mwendesha mashitaka Wakili wa Serikali, Edgar Bantulaki ameieleza mahakama wana mashahidi wanne na wako ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果